DEMBELE RASMI BARCELONA

Klabu ya Fc Barcelona imefanikiwa kuinasa saini ya Mshambuliaji Ousmane Dembele, Dembele kutoka Borussia Dortmund amemalizana na Barcelona na sasa anajiunga na timu hiyo Jumatatu.

Barcelona na Borussia Dortmund wamefikia makubaliano ya uhamisho wa Ousmane Dembélé kwa Euro Milioni 105. Mchezaji atasaini mkataba wa miaka mitano na kwenye mkataba wake atawekewa thamani ya Euro Milioni 400 ( Buy-Out Clause ) .

Kutua kwa Dembele Barcelona kunafanya safu ya ushambuliaji kuwa MSD badala ya MSN kabla Neymar hajatimukia PSG.

Comments

Popular posts from this blog

TAZAMA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO AWAMU YA PILI

WAZIRI ANAESHUGHULIKIA MASUALA YA AFRIKA KATIKA WIZARA YA MAMBO YA NJE YA UINGEREZA AFANYA ZIARA YA SIKU MBILI NCHINI