Posts

Human Hair: How This Business Makes Millions of Dollars in Africa, and the Tricks You Didn’t Know

Image
According to  estimates , Africa’s dry hair market — that is, the market for weaves, wigs and hair extensions — is currently worth over $6 billion a year and growing quite rapidly. And there appears to be good reason for the mind-blowing size of Africa’s hair market. Studies  reveal  that black women are willing to spend at least double the amount on hair and beauty products than white women. On a continent where  over 40 percent  of the population lives below the poverty line, the business of beauty, especially hair products, is experiencing a significant boom. Every year, the value of trade in  shampoos, relaxers and hair lotions  in Nigeria, South Africa and Cameroon is over $1.1 billion. This figure does not even include sales in other 40+ Sub-Saharan countries. And according to Euromonitor International, the market for liquid haircare products in Africa will continue to grow at a 5 percent rate between 2013 and 2018. But I digress…...

One who teaches a computer to smell a smell

Image
Nigerian citizen Agashi has launched computer-based mouse-based computers at the ongoing TEDGlobal technological conference in Tanzania. The system has been trained to recognize the scent of the explosives and can be used to strengthen safety at airports, he said. Similarly the modem device and the name Koniku Kore can be a future robot brain. The major technological companies, including Google to Micrososft, are in the process of creating a robot capable of having a human mind. While computers are better than winning man in solving complex comparisons, there are many roles that can be done by human brain including learning a computer to smell the smell. Mr. Agabi intends to change the engineering biology that has already accomplished the invention. '' Biology is Technology ''. Our main task is to try to copy the brain. He launched the koniku device last year and successfully won $ 1 million as a funding and says the device has provided $ 10 million in contr...

TAZAMA ALICHOKIANDIKA LISSU KUHUSU WCB(WASAFI)

Image

WALIMU WAWILI MBARONI KWA KOSA KUFANYA MAPENZI NA WANAFUNZI

Image
Walimu wawili waliokuwa wakifanya mazoezi kwa vitendo katika shule ya sekondari ya Kikala wilayani Lushoto mkoani Tanga wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kufanya mapenzi na wanafunzi wawili wa kidato cha tatu shuleni hapo. Akizungumza Mkuu wa Wilaya ya Lushoto ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama, January Lugangika amesema waalimu wa wanafunzi hao wamekikuka maadili ya ualimu na kwamba watachukuliwa hatua zaidi huku akiongeza kuwa tabia hizo zinaleta kichefu chefu kwa jamii. Aidha mwenyekiti huyo amedai kuwa ushahidi wa tukio hilo umethibitishwa na Daktari ambaye aliwafanyia vipimo na kuthibitisha ni kweli kitendo hicho kilifanyika Kwa upande wa Afisa elimu wa sekondari Wilaya ya Lushoto Kassim Singato amesema endapo kutakuwa na masomo ya ziada ni lazima yafahamike muda yanapoisha ili wazazi waweze kufuatilia mwenendo wa watoto wao. "Inabidi wazazi muwafatilie watoto wenu kwa kila hatua, mjue wanafanya nini shuleni na kama mzazi humfatilii anaweza kufa...

MKUU WA WILAYA YA MUSOMA ATOA TAMKO KUHUSU MAKANISA

Image
Kutokana na makanisa kuwa mengi, uendeshaji wa shughuli za ibada umekuwa kwa kasi kiasi cha kuwakwaza wakazi jirani na  maeneo yanayozunguka  makanisa hayo, kwani  ibada zinazoendeshwa  zimekuwa zikiambatana na muziki mkubwa, vilio na sauti mbalimbali ambapo kwa mujibu wa baadhi ya wakazi imeonekana kuwa kero. Hivyo Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Zelothe Stephen amefunguka na kusema uhuru wa kuabudu usifike mahala ukawa kero kwa wananchi wengine, hivyo ametoa tamko lililozingatia katiba na kusema kuwa, viongozi wa ibada inabidi wawe na ratiba maalumu kuhusiana na uendeshaji wa ibado hizo. Amehoji na  kusema kuwa ibada zinaendeshwa siku nzima wananchi wanapata wapi muda wa kufanya kazi kukidhi mahitaji ya familia zao, hivyo amewataka viongozi wa makanisa hayo wawe na muda maalumu wa kufanya ibada na si kuendesha ibada siku nzima huku wakiwa wamefungulia mziki kwa sauti kubwa kiasi cha kusumbua wakazi wa maeneo jirani. Pia amesisitiza kwa viongozi wa makanisa...

MAGAZETI YA LEO JUMANNE 29,AUG 2017

Image